Shule nzuri ya kisabato ya Kitungwa yenye kufundisha watoto elimu timilifu yenye maarifa ya dunia na elimu ya Mungu iliyoko mjini Mororgoro inatangaza nafasi za kujiunga na shule hiyo kwa watu WOTE, bila kujali dini wala tabaka za aina yoyote. Muelimishe mwanaoa uokoe na roho yake!!
NEMBO YA SHULE NA PICHA YA WANAFUNZI |
KAULI YA MAKAMU MKUU WA SHULE |
MANDHARI YA SHULE |
MAELEZO YA ZIADA YA MSINGI |
Kituo ni Kanisa la Zanzibar
Mitihani itafanyika Alhamisi ya tarehe 6 Oktoba
Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Mchungaji Bunga 0789-866666
Waarifu na wengine habari hizi njema.
No comments:
Post a Comment