Mpeleke mtoto wako katika shule nzuri ya awali iliyopo mjini Zanzibar ili mtoto wako apate malezi mazuri yenye kujenga ufahamu wa elimu dunia na elimu bora ya dini. Watoto wa dini zote wanapokelewa
JENGO LA SHULE YA AWALI YA ZANZIBAR S.D.A NURSERY SCHOOL |
JENGO LA SHULE LIONEKANAVYO KWA MBELE |
NAFASI KUBWA YA UWANJA, SEHEMU MUHIMU KWA MAZINGIRA YA KUFUNDISHIA WATOTO WADOGO |
SEHEMU YA UPANUZI WA JENGO HILO |
Kanisa la Zanzibar limepiga hatua kwa kujijengea shule yake ya awali ya kufundishia watoto wa chekechea.
Shule hiyo imeajiri mwalimu mkuu na timu yake wenye taaluma ya ualimu.
Njozi ya kanisa hilo ni kupanua shule hiyo ili kiweze kuanza na kutoa elimu ya msingi.
Kwa taarifa zaidi wasiliana na:
Mkuu wa shule: Mwalimu Moses Obunde simu : 0658-664544 ; barua pepe: onyangojunior@hotmail.com
Mchungaji mtaa wa Zanzibar Pr. Bunga 0789-866666; barua pepe: bdettu@yahoo.co.uk
No comments:
Post a Comment