Mmoja wa viongozi wa A.L.I.V.E Kenya Bi, Betty akitoa warsha kwa washiriki wa kanisa la Chuo Kikuu Cha Arusha.
Baadhi ya washiriki wakifuatilia kwa karibu warsha hiyo iliyoamsha hamasa ya wengi kushiriki katika kazi ya kuongoa roho.
Bwana Nelson (kulia) na Bwana Rubara Marando washiriki wa semina ya A.L.I.V.E toka Dar es Salaam wakiteta jambo.
Wakati wa kujenga hekalu.
No comments:
Post a Comment