Wednesday, October 19, 2011

MAGADIRISHO: A CHURCH TO EMULATE

In Arusha region at USA river there is a church located at USA river which can leave you dumbfounded with its success. The church has less than 50 members mostly of low income. However, despite all the challenges members have bought a large plot for the church premises. The premises are big enough to accommodate other facilities as well, the erected church building can sits more than 300 worshipers at a time. They have a strong small choir; well arranged programs which are well managed in terms of quality and time. 
But most interestingly the church is running a project on Burned Bricks. These brick after being ready they are sold and the obtained fund is used to build the church. What a self sustainable and self independent system for this congregation. This is Magadirisho S.D.A Church. 

We can all learn from them in developing our churches.
 A church building as it is seen from outside
 Church members and visitors included as seen inside the church

A small mighty church choir, that is well disciplined with regular practices

Bricks being dried under the sun before being burnt, after which they will be ready for use and they will be sold.




Saturday, October 1, 2011

NAFASI ZA MASOMO ZANZIBAR S.D.A NURSERY SCHOOL

Mpeleke mtoto wako katika shule nzuri ya awali iliyopo mjini Zanzibar ili mtoto wako apate malezi mazuri yenye kujenga ufahamu wa elimu dunia na elimu bora ya dini. Watoto wa dini zote wanapokelewa

JENGO LA SHULE YA AWALI YA ZANZIBAR S.D.A NURSERY SCHOOL

JENGO LA SHULE LIONEKANAVYO KWA MBELE

NAFASI KUBWA YA UWANJA, SEHEMU MUHIMU KWA MAZINGIRA YA KUFUNDISHIA WATOTO WADOGO

SEHEMU YA UPANUZI WA JENGO HILO

Kanisa la Zanzibar limepiga hatua kwa kujijengea shule yake ya awali ya kufundishia watoto wa chekechea. 
Shule hiyo imeajiri mwalimu mkuu na timu yake wenye taaluma ya ualimu.
Njozi ya kanisa hilo ni  kupanua shule hiyo ili kiweze kuanza na kutoa elimu ya msingi.


Kwa taarifa zaidi wasiliana na:
Mkuu wa shule: Mwalimu Moses Obunde simu : 0658-664544 ; barua pepe: onyangojunior@hotmail.com
Mchungaji mtaa wa Zanzibar Pr. Bunga  0789-866666; barua pepe: bdettu@yahoo.co.uk

NAFASI ZA MASOMO TEMEKE S.D.A NURSERY AND PRIMARY MEDIUM SCHOOL




NAFASI ZA MASOMO KITUNGWA ADVENTIST SECONDARY SCHOOL


Shule nzuri ya kisabato ya Kitungwa yenye kufundisha watoto elimu timilifu yenye maarifa ya dunia na elimu ya Mungu iliyoko mjini Mororgoro inatangaza nafasi za kujiunga na shule hiyo kwa watu WOTE, bila kujali dini wala tabaka za aina yoyote. Muelimishe mwanaoa uokoe na roho yake!!
NEMBO YA SHULE NA PICHA YA WANAFUNZI

KAULI YA MAKAMU MKUU WA SHULE

MANDHARI YA SHULE

MAELEZO YA ZIADA YA MSINGI

Kwa ajili ya taarifa na mawasiliano zaidi (k.m vile kujua tarehe na vituo vya mitihani) tumia taarifa zilizopo hapa chini

 Kwa Zanzibar :
Kituo ni Kanisa la Zanzibar
Mitihani itafanyika Alhamisi ya tarehe 6 Oktoba
Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Mchungaji Bunga  0789-866666


Waarifu na wengine habari hizi njema.